
Rainfred Masako aliyezaliwa mwaka 1952 katika Wilaya ya Ulanga amesema muda alioitumikia jamii katika masuala mbalimbali unatosha sasa na anataka awasaidie wananchi wa Jimbo la Ulanga kupitia Siasa, akaongeza kuwa yeye ni dhahabu iliyokuwa ikitembea na sasa ili wakazi wa jimbo la Ulanga waichimbe na kuipata ni kumpa ubunge yeye ili wasaidiane katika kuinua uchumi wa wakazi wa jimbo hilo.
Pichani, aliyeketi kulia mwa Rainfred Masako ni mshauri wake wa masuala ya Siasa bwana Abdon Kidege.
Photo credit: John Bukuku - FullShangwe


RSS Feed