Picha ya kwanza wanaonekana Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Amani Abeid Karume, Balozi wa Marekani nchini, Alphonso E. Lenhardt, na wahusika wengine wakishuhudi utiaji saini mkataba wa kazi za ulazaji waya wa umeme, (Marine Cable) kutoka Ras Kiromoni Dar es Salaam hadi Fumba.
Picha ya pili wanaonekana mtendaji Mkuu wa Millenium Challenge Tanzania, Bernad Mchomvu akibadilishana na kukabidhiana mkataba waliotia saini zao na mwakilishi wa Kampuni ya Viscus ya nchini Japan, Tesuji Onno.
Picha na Ramadhan Othman Ikulu via Sufiani Mafoto.