Picha zikimuonesha Waziri Mkuu wa Tanzania bwana Mizengo Pinda "mtoto wa mkulima" pamoja na mkewe, Tunu, viongozi mbalimbali wa Kiserikali na wananchi katika shughuli mbalimbali za ufunguzi na ukaguzi. Waziri Mtoto wa Mkulima alifanya ziara hiyo mkoani Singida katika Wilaya ya Manyoni mwezi Aprili 2010.