Baadhi yetu tuna blogu au tovuti ambazo huwa tunaandika aidha mawazo yetu au yale tunayoyapokea kutoka kwa wengine ili kupashana habari, taarifa na matukio mbalimbali. Kati yetu, wapo ambao wangependa habari hizo zitoke moja kwa moja kwenye blogu au tovuti zao na kwenda kwenye ukurasa wao wa Facebook bila kuhitaji ku-copy na ku-paste URL address ya posti husika. Ikiwa wewe ni mmoja wa watu hao, basi fanya yafuatayo ili uweze kufanikisha hilo na hivyo uweze kuwajuza marafiki zako kila unapobandika posti mpya katika blogu/tovuti yako. Ukitaka kuona mfano halisi, bofya hapa utizame ukurasa wa nukta77. Cha kufanya (picha zimewekwa baada ya maandishi haya kusaidia hatua kwa hatua, bofya ili kuzikuza ujionee vizuri):
Sasa Facebook ita'update' ukurasa wako punde tu utakapochapisha toleo jipya katika blogu/tovuti yako. Ni hayo tu. P.U.G.U hii nimejifunza kupitia InsideFacebook.com na HowTo. Tutumie vyema intaneti kwa faida yetu. Comments25/05/2010 1:18pm
Aisee nilikuwa naitamani sana feature hii. Ahsante sana fundi mitambo.
Reply
25/05/2010 5:00pm
Done.
Reply
Leave a Reply | Vitabu vya WatanzaniaBofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala
Yaliyomo/CategoriesAll Hifadhi/ArchivesFebruary 2012 |








RSS Feed