Jinsi ya kupeleka Twitter updates Facebook 27/05/2010
Baada ya kujifunza jinsi ya kuunganisha blogu/tovuti ili updates ziende moja kwa moja kwenye ukurasa wako wa Facebook, inawezekana pia kuunganisha updates zako zikatoka moja kwa moja toka kwenye ukurasa wako wa Twitter na kwenda Facebook. Zipo njia mbalimbali na applications tofauti za kukuwezesha kufanya hivi, ila nitazungumzia mbili ambazo ni 'genuine' na ambazo nimewahi kutizumia. Cha kufanya: Uchaguzi namba 1 (update facebook na kila kitu toka twitter)
Ukitaka kuthibitisha kuwa kila kitu kipo sawa, nenda fungua ukurasa mpya kabisa wa twitter.com kisha login kwenye akaunti yako, na andika maneno kisha posti kama utakavyo kisha baada ya dakika moja, rudi kwenye ukurasa wako wa facebook, refresh na tizama kuona ikiwa twitter imefanya ilivyotarajiwa. Ikiwa utafuata utaratibu wote, utaona updates zako zote toka twitter zinaingia facebook. Bofya picha zifautazo kuzikuza na kuona maelekezo kwa njia ya picha au bofya hapa kutizama video (YouTube video). Uchaguzi namba 2 (update facebook na posti utakazochagua kutoka twitter) Ikiwa hupendi kila unachoandika kwenye twitter kipelekwe facebook, basi usifuate utaratibu ulioelezwa hapo ju. Usijali ikiwa tayari umeshaufuata kwani unaweza kuondoa kwa kupitia facebook.com/editapps.php) na fuata utaratibu huu
Kumbuka: Unaweza kufuta applications hizi na nyingine zote ikiwa hutaki kuzitumia tena kupitia facebook.com/editapps.php Ni hayo tu! CommentsLeave a Reply | Vitabu vya WatanzaniaBofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala
Yaliyomo/CategoriesAll Hifadhi/ArchivesFebruary 2012 |












RSS Feed