
Bofya kifute cha play usikilize rekodi ya kipindi hiki. Ili kupata rekodi nyingine za NjiaPanda, bofya neno 'Dk. Isaac Maro' kwenye category hapo kulia mwa ukurasa au kwenye ukurasa wa audio.
|
|
Siku ya Jumapili, tarehe 2 Mei 2010 kipindi cha Njia Panda kinachoendeshwa na Dk. Isaac Maro na kurushwa na Radio Clouds FM kilikuwa na wageni ambao ni wanaume wanaojishughulisha na mapenzi ya jinsia moja. ![]() Dk. Isaac Maro Kwa ujumla kipindi kilizungumzia juu ya hali halisi ya maisha ya wanaume hawa pamoja na suala zima la kupambana na maambukizi ya VVU na UKIMWI katika jamii, hasa kwa kuwa wanaume hawa hujishughulisa na biashara ya mapenzi, kitendo ambacho ni kinyume na sheria za nchi. Bofya kifute cha play usikilize rekodi ya kipindi hiki. Ili kupata rekodi nyingine za NjiaPanda, bofya neno 'Dk. Isaac Maro' kwenye category hapo kulia mwa ukurasa au kwenye ukurasa wa audio. CommentsIgnorant 18/05/2010 05:16
Hii audio mbona inapiga muziki tu na wala sio hicho kipindi (nilibahatika kukisikiliza). 18/05/2010 22:07
@Ignorant, ni kweli mziki ni sehemu ya kipindi hicho. Mimi nimesikiliza kama saa nzima hivi mahojiano hayo ya kwenye kipindi. Ni vyema ukasikilize tena ujifunze na uweze kujua nini unaweza kuisaidia jamii Leave a Reply |