Msanii mkongwe wa maigizo ya redioni na kwenye runinga nchini Rajabu Hatia maarufu Mzee Pwagu alizikwa katika makaburi ya Kigogo majira ya saa saba mchana Mei 29, 2010. Waombelezaji wengi walikusanyika nyumbani kwa marehemu kigogo na baadae kuelekea makaburini kwa ajili ya maziko hayo. Wasanii wengi pia walijitokeza katika kumsindikiza katika safari yake ya mwisho. Apumzike pema Mzee Pwagu. Amin.

Photo credit: Vincent Kigosi/RayTheGreates blog
 


Comments

Rashid
30/05/2010 19:58

Mwenyezi Mungu amlaze pahali pema

Reply



Leave a Reply