Timu ya vijana wa mkoa wa Singida ndiyo bingwa wa kombe la Kili Taifa Cup baada ya kuwabwaga Lindi kwa jumla ya mabao matatu kwa nunge (3-0). Mchezaji Kelvin Charles aliifungia Singida mabao mawili.

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, William Lukuvi akikabidhi kombe la ubingwa wa Kili Taifa Cup kwa Kapteni wa timu ya Singida, Rajab Mohammed, na anayeshuhudia ni Kelvin Charles na anayeonekana kwa ishara ya kpiga makofi ni Rais wa TFF, Leodger Tenga (shati jeupe) na Mkurugenzi wa masoko wa TBL, David Minja (blue top, kulia mwa Lukuvi) (photo credit: Ahmad Michuzi/Jiachie blog)