Spika Samuel Sitta akiwa Uturuki 12/05/2010
Ujumbe wa wabunge saba toka Tanzania ukiongozwa na Spika wa Bunge wa Tanzania Mhe. Samuel Sitta upo katika mkutano wa pamoja na wenzao wa Bunge la Uturuki pamoja na Spika wa Bunge la Uturuki Mhe. Mehmet Ali Sahin mjini Akara. Hoja kuu ni kujadili namna ya kuimarisha mahusiano ya mihimili hii miwili ya Bunge la Uturuki na Tanzania pamoja na kuhamasisha uwekezaji katika sekta mbalimbali za maendeleo katika nchi mbili hizi. Ziara hii ni mwitiko wa kufuatia mwaliko wa Spika wa Bunge la Uturuki kwa Spika wa Bunge la Tanzania. Photo credit: Owen Mwandumbya/Bunge. CommentsLeave a Reply | Vitabu vya WatanzaniaBofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala
Yaliyomo/CategoriesAll Hifadhi/ArchivesFebruary 2012 |










RSS Feed