ooookay!!!...ukionyeshwa mapungufu yako huna budi kushukuru pia...japo sio zoote za ukweli,..nyingine tumeongezewa na nyingine tumepunjwa...nahisi tumepunjwa nyingi zaidi haswa kwenye stats za pili..
Reply
LeBron
29/05/2010 20:19
LE=52yrs(2009 est),estimated people living with HIV/AIDS 2,113,158,among others tulizopendelewa..we still have a long way to go..but a long journey must start with the first step..ambayo bado tunafanya upembuzi yakinifu kujua ni mguu gani tuutumie kuanza safari..mchaato umeshaanza na mzabuni ameshapatikana..tunasubiri washirika wa maendeleo watenge fungu ili tenda itangazwe..damn sie mbayuwayu!
LeBron, eh, wametupunja takwimu hizo eeh? pointi nimeipata mkuu, lakini bado wapo wanaoona tumebambikizwa haya matakwimu, sijui wanaishi kipande ipi ya Tanzania walahi! Kweli sisi wa vijijini tuendelee kula magimbi yetu wacha wa mjini wale keki zao bwana tutakutana ardhini, huko nadhani ndo kwenye usawa.
Reply
Leave a Reply
faraja.org
Get professional advise for a Tanzanian or UK visa. Contact T UK Visa consultancy. CALL+255 222 139 502 or Email: info@tukvisaconsultancy.co.tz
Vitabu vya Watanzania
Bofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala