Wakulu wakiselebuka... 15/05/2010
Ninasema dhahiri kuwa simfahamu aliyetunga maneno ya kuendana na picha hizi, ila napenda kutoa shukrani zangu kwake na kwa yeyote aliyeisambaza hadi kunifikia. Imenifurahisha sana na kuniacha na tabasamu. Dk. Shein: Duuu hhh sijui kule mkuu wangu (JK) ameshapata, maana anataka kutia aibu... JK: Wee Jakobu, “kiduku” kinachezwa hivi, unaweka mikono mbele halafu unabetua miguu kwa nyuma. JZ: Wewe Jokery (Jakaya), unapanua miguu kidogo, hiyo si mliiga kwetu bondeni, halafu kiuno kwa mbaaali. JK: Duuuhh akili ya kuambiwa changanya na ya kwako... CommentsLeave a Reply | Vitabu vya WatanzaniaBofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala
Yaliyomo/CategoriesAll Hifadhi/ArchivesFebruary 2012 |






RSS Feed