Siku ya Jumapili, tarehe 25 Aprili 2010 kipindi cha Njia Panda kilikuwa na mgeni kutoka 'Medicinal Plant Open Academy' ambaye alizungumzia suala la matatizo ya uzazi, utasa, ugumba na kutokutunga mimba na uhusiano wake na lishe asilia.
Picture
Dk. Isaac Maro
Bofya kifute cha play usikilize rekodi ya kipindi hiki. Ili kupata rekodi nyingine za NjiaPanda, bofya neno 'Dk. Isaac Maro' kwenye category hapo kulia mwa ukurasa au kwenye ukurasa wa audio.

Kipindi cha Njia Panda kinachoendeshwa na Dk. Isaac Maro na kurushwa na Radio Clouds FM kila siku ya Jumapili muda wa saa nane mchana hadi kumi alasiri (8 mch. - 10 ala.) na kimekuwako hewani tangu mwaka 2001 na inakadiriwa huwafikia wasikilizaji wapatao milioni tatu na nusu waliopo ndani na nje ya Tanzania.

 


Comments




Leave a Reply