Neno 'passport' la lugha ya Kiingereza lina maana ya 'pasi' kwa lugha ya Kiswahili. Nadhani walipaswa kuandika, 'passport size photo' kwani sehemu hii kwa uzoefu wa 'vijiwe vya mjini' hapa ni mahala pa kupigia picha kwa ajili ya pasi mbalimbali za utambulisho, asilani, hili si eneo maalum la Serikali kwa kutolea 'pasi'.
Comments
Leave a Reply
Vitabu vya Watanzania
Bofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala