Unga marafiki wa Facebook waliopo Twitter 02/06/2010
Ikiwa unatumia mitandao jamii Twitter na Facebook, unaweza kuwa na marafiki pia ambao hutumia mitandao yote miwili. Njia moja ya kufahamu marafiki zako ni kwa kuwasiliana nao na kuwauliza majina wanayotumia katika mtandao husika ili uweze kujumuika nao. Njia nyingine ni kwa kutumia application ya fab140 iliyotengenezwa na tovuti ya society.me ambacho unachotakiwa kufanya ni:
Ni hayo tu! CommentsLeave a Reply | Vitabu vya WatanzaniaBofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala
Yaliyomo/CategoriesAll Hifadhi/ArchivesFebruary 2012 |





RSS Feed