Safari ya Othman Michuzi akitembea Mtaa kwa Mtaa huko Zenji...
'Chaimaharage' ni jina lililozoeleka miaka ya 90 na linalotumika kumaanisha vyombo vya usafiri kwa umma ama 'daladala' kwa Dar Es Salaam au 'matatu' kwa Nairobi na 'chapa' (hutamkwa 'shapa') huko Maputo.
Comments
Yasinta
17/07/2010 1:38pm
kaazi kwelikweli! kweli tembea ukitane na vijimambo Ah´sante sana kwa taarifa hii. Maana kwa kweli unaeza kuumbuka.
Reply
Leave a Reply
Vitabu vya Watanzania
Bofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala