Mgombea kiti cha uraisi wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Dk. Wilbroad Slaa, ameumia mkono wa kushoto baada ya kuanguka bafuni jana. Alipatiwa matibabu katika hospitali ya Bugando na hali yake inaendelea vizuri. Jioni ya leo anatarajiwa kuhutubia wakazi wa mkoa wa Shinyanga na vitongoji vyake.
Picture
photo credit: Mongoiwe/Jamii Forums
 


Comments

Evans
02/08/2010 02:19

Pole sana Rais Mtarajiwa.Huyu ndiye..Hakika si rahisi kutambua yaliyo moyoni mwa mtu, lakini mwenendo wake unasema mengi..ya kwamba anaweza.Natumpe nafasi aikomboe nchi toka mikononi mwa mafisadi.

Reply



Leave a Reply