Fomu yalipiwa shilingi Milioni Moja na ushee hivyo...
Pichani ni Amos Makalla akiwakilisha 'kilo' zake ofisi za CCM tawil la Dakara katika huko Mvomero, Morogoro alikochukua fomu za kugombea Ubunge. credit: Lady Jay Dee blog
Comments
Nicholas
22/07/2010 11:45am
Lakini fomu ya kugombea ubunge kwa CCM ni shilingi laki moja!!,jamani au nyingine ni mchango wake wa wapiga kura??
Reply
Leave a Reply
Vitabu vya Watanzania
Bofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala