Kuna 'shoki-shoki' na 'masheli-sheli' 21/07/2010
Siku moja kule kijiweni Facebook naandika, 'hii ni misheli sheli', rafiki yangu pale Hassan anirekebisha asema picha ul'oweka ya 'shoki shoki', yaani kidogo nimpoteze dogo Arnold. Sasa leo napata picha ya 'mishoki shoki' hivyo nimeamua kuziweka zote hapa na kuzitambulisha rasmi, tupate kufayamu yepi masheli sheli na ipi shoki-shoki. Shukrani kwa Othman Maulid Othman kwa picha zote zilizomo kwenye posti hii. CommentsDa Subi katika hilo neno "masheli sheli" uko sawa, lakini katika hilo neno "mishoki shoki" huko sawa, kwani unaposema "mishoki shoki" unamaanisha miti mingi inayozaa hayo matunda yalioko pichani "shoki shoki" na ninaamini hukukusudia hivyo kwa mujibu wa picha, sasa hayo matunda yanayoonekana kwenye picha yanaitwa "shoki shoki".
Reply
Asante sana wadau kwa kuutumia vema uga wetu taaluma.Nawasihi tukubaliane kuwa si kila kitu ni darasani na darasa siyo kila kitu.
Reply
Leave a Reply | Vitabu vya WatanzaniaBofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala
Yaliyomo/CategoriesAll Hifadhi/ArchivesFebruary 2012 |






RSS Feed