Mwananchi wa kawaida nchini Tanzania 19/07/2010
Baadhi ya watu huuliza, 'unaposema mwananchi wa kawaida, unamaanisha nini hasa? Basi wanaoonekana katika picha hii ni baadhi ya Wanawake ambao wanawakisha sehemu tu ya dhana ya 'wananchi wa kawaida" katika nchi yao ya Tanzania. Hongera kwao kwa kuchapa kazi, ingawaje katika mazingira magumu na vifaa duni ikilinganishwa na wanavyofanya nchi zenye maendeleo ya viwanda. Picha zaidi katika blogu ya Mroki Mroki CommentsAile 29/07/2010 7:29am
Hongea sana akina mama kwa kazi nzuri japokuwa ni ngumu.
Reply
Leave a Reply | Vitabu vya WatanzaniaBofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala
Yaliyomo/CategoriesAll Hifadhi/ArchivesFebruary 2012 |





RSS Feed