Pichani ni mfano wa pweza maafuru Paul akitandikwa kwa kukosa kitambulisho na kujitambulisha kuwa yeye ni kiumbe maafuru sana duniani. Pweza Paul mwenye asili ya Uingereza ambaye anafugwa na kutunzwa nchini Ujerumani alijipatia umaarufu kwa kutabiri sawia matokeo ya mechi za Kombe la Dunia 2010.
Comments
Leave a Reply
Vitabu vya Watanzania
Bofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala