Samaki wa kubanika, utamaduni asilia. 15/07/2010
Commentsmpare 19/07/2010 2:19am
we mchaga acha zako umesahau baba zako wanavyokwenda kiboroloni kupata mbege na nyama choma wakati mgombani mama na watoto wanakufa kwa kwashiokor
Reply
20/07/2010 1:54pm
nyinyi wachaga tunawafichia siri, kwamba mnapenda hela kuliko ndugu, sisi tunakauka, nyinyi mkiwa mnawadai ndugu zenu hamtaki wafe mpaka wawalipe madeni yenu, mnasema we mosha banamdoka usife kwanza niripe ile hera yangu harafu kufa, yasuangu hera inaumaetiii, nimetafuta kwa shida hivoo, mamaangu msasi, hahahahahahaah.....
Reply
Leave a Reply | Vitabu vya WatanzaniaBofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala
Yaliyomo/CategoriesAll Hifadhi/ArchivesFebruary 2012 |





RSS Feed