Ukwaju. Je! Wazijua faida zake? Nazitaja 10 22/07/2010
Kila mmoja wetu atakubali kuwa tukiwa watoto wadogo bado twaenda shuleni, ifikapo saa nne au saa sita kila mmoja alikuwa akijongelea 'deli' la 'Kaka Mkude' ili apate 'barafu' au 'aisikrimu' za aidha ukwaju au ubuyu. Kwa siye ambao sehemu ya maisha yetu tumekulia mashambani, tulikuwa tukihakisha kuwa popote penye ukwaju panageuka kijia cha msimu, walao hadi msimu wa ukwaju upite, alimradi tudokoe ukwaju. Tunapokuwa 'wakubwa' hupenda kuona baadhi ya vyakula na matunda kama vile 'ya kitoto' na hivyo kuachana navyo, pasipo kufahamu kuwa tunakosa virutubisho vingi ambavyo ni chanzo kikuu cha afya bora. Zifuatazo basi ni faida za ukwaju ambazo zitakushawishi siku nyingine kuagiza glasi ya juisi ya ukwaju, na kama ni 'waziri wa mambo ya ndani' ya nyumba, au una fahamiana na 'waziri husika' basi agiza aendapo gulioni asiache kuchukua fungu la ukwaju wa kutosha walao wiki kama si mwezi mzima. Faida 10 za ukwaju:
NB: Ikiwa ukwaju na asali havikudhuru, basi changanya hivyo viwili ili kupata faida maradufu! Comments23/07/2010 1:48am
sasa utajuwaje kuwa ukwaju na asali havikudhuru. si wanasema sumu haijaribiwi kwa kuonjwa?
Reply
@Ray, asalaam aleikum!
Reply
24/07/2010 3:36am
Kwanza naanza kutoa shukurani zangu za zati kwa da, subi, hizi ndizo faida kubwa za lishe, maranyingi tunatakiwa kufahamu kwamba chakula fulani kinatibu nini, au matunda fulani yanatubu nini, au mti fulani unatibu, ni ni tuba nzuri sana, kuliko dawa za hospital ila sisi hatizingatii, ukizingatia zaidi huwezi kuuguaugua huvyo, fuatilia sana vijijini kwetu utakuta baadhi ya watu hospital wanaiangalia kwa nje, jamani tusiishie kusoma tu, gud day
Reply
makiwara 09/08/2010 6:56am
nashukuru kwa somo hilo kwani nimekuwa nikisumbuliwa sana na nyongo. kuna siku nilijaribu kunywa glass ya juis ya ukwaju tumbo liliwaka moto sana sasa sijui ndio uponyaji au ni tatizo linginewe. kama sina asali je sukari inafaa?
Reply
Leave a Reply | Vitabu vya WatanzaniaBofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala
Yaliyomo/CategoriesAll Hifadhi/ArchivesFebruary 2012 |





RSS Feed