Comments30/08/2010 6:44am
Da'Subi - Kiswahili chako nawe. Ni mara yangu ya kwanza kulisikia neno shega. Safi sana!
Reply
30/08/2010 10:54am
Prof: wakati fulani nilipokuwa naandikia magazeti ya BTL, tuliwahi kupambana na mhariri wangu pale nilipomuuliza kwanini gazeti la Majira, lilikuwa linaandika habari ambazo zilikuwa zinatakiwa kutoka katika gazeti (lililokufa) la Maisha.
Reply
Leave a Reply | Vitabu vya WatanzaniaBofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala
Yaliyomo/CategoriesAll Hifadhi/ArchivesFebruary 2012 |





RSS Feed