Mgombea Uraisi Tanzania 2010 kupitia CHADEMA 24/08/2010
CommentsTINA 24/08/2010 2:01pm
Hata mimi namkubali sana,ni mtu wa points sana angekua majuu wangemuelewa wengi lakini hapa kwetu bado hawajamuelewa sana.Ila namuombea asonge mbele ana signs nzuri za uongozi.
Reply
TOZI 24/08/2010 6:39pm
GO SLA GO MAN
Reply
Dr.Slaa tuko nyuma yako tumeona juhudi zako pale karatu tunaomba sasa maendeleo uliyaleta karatu tunataka Tanzania nzima mpaka sasa waasilika Mbagala na kilosa wanakaa kwenye matenti serikali inapesa lakini wanatumia kwa manufaa yao kwahili wewe unaliweza kwa moyo wa uzalendo usijali ccm wana magari mengi,ufisadi mwingi na matumizi mabaya ya pesa za wananchi ili washinde waendelee kutukandamiza tena mbaya zaidi kupeana madaraka kwa kupokezana kama mbio za vijiti tumechoka .tuko nyuma yako.
Reply
Ana 24/08/2010 11:32pm
Watanzania tuamke mabadiliko yataletwa na sisi wenyewe sio watu kutoka nchi za jirani, mwaka huu tusilale.. Tumeona Dr Slaa na kumsikia akitoa takwimu na mambo mengi yahusuyo maendeleo bungeni na kwingineko bila kutetereka.. Ni mzalendo.. Tuachane na CCM imezeeka na ina watu waliozoea kupigiwa kelele.. Hawasikii ni sugu!! Tusidanganywe na vizawadi vya elfu kumi vya siku moja halafu watu wanatunyonya miaka mitano.
Reply
Said,M 25/08/2010 12:35am
Dr Slaa ni Mtu makini saana, na hakika watanzania tukimchagua Dr Slaa awamu hii tutarajie mabadiliko.
Reply
Mathew. 25/08/2010 12:37am
Tumpe kura za ndiyo Dr Slaa jamani.Ninyi watanzania vipii! Mungu atupe nini?
Reply
Baba T 25/08/2010 12:55am
Sina hakika kwa mwaka huu.....labda 2015
Reply
wam 25/08/2010 4:17am
MTU MAKINI MKWELI MUWAZI ANAYEHOFU MUNGU MWENYEUCGUNGU NA WATU WAKE ASYEPENDA MAKUU, MTUMISHI WA WATU AJUAE KUSIKILIZA. SIHAYO TU MWENYE WATU WASOMI WACHUNGUZI MAKINI WENYE MVUTO WAPAMBANAJI,WANAOJUA KUJIPANGA WANAJUA WANAKOKWENDA WANAJUA WANAKO WAPELEKA WATU WAWEZAO KUIGWA WAEZAOKUFUATWA NA WASIPOTEZE MTU. KAMA TUKIWAPA NAFASI TUNAWEZA KUONA MATOKEO MAZURI. KUMBUKA DALILI YA MVUA NI MAWINGU.
Reply
kiri 25/08/2010 4:36am
We need changes for the sake of Tanzanians and Tanzania. Go Slaa Go...
Reply
Lulu 25/08/2010 5:09am
Kasheshe itakuja siku ya uchaguzi. Nani atasimamia visanduku? Mchezo wa kubambika nilishaushuhudia Dodoma 2005. Mawakala wanapewa pesa kidogo kufumba macho. Chadema hakikisha mawakala ni watu makini siyo kuokota watu mitaani wenye njaa kusimamia kura. Dr. Nipo nawe tumechoka sasa basi.
Reply
Binaisa 25/08/2010 9:25am
Wakubwa tujitahidi tuitumie kura yetu vizuri.
Reply
Binaisa 25/08/2010 9:27am
Wakubwa tutumie kura yetu vizuri
Reply
Makuwo 25/08/2010 9:49am
Slaa, im praying for Tanzania!
Reply
DR slaa ni tumaini la Tanzania ni wakati muhafaka kumpa nafasi ya urais na hakika hatutajuta kamwe.Watanzania tujue kuwa ahadi za tumepewa sana na tumefedheheshwa tuwaweke kando kwa mujibu wa katiba yetu watajirekebisha baada ya kuwapumzisha kando.Asanteni vijana akina dada,kaka,mama na baba wote kwa pamoja hamkeni.
Reply
bashir 12/09/2010 7:41am
Mie bado cja shawishika, mwanzo nilimpenda sana slaa alipo kuwa mbunge lakini kwa sasa naomba umeharibu kabisa yale matarajio yetu kama watanzania, mimi naamini kumpa slaa kura nikama unaharibu kabisa kura yako, najua hawezi pata, mie binafsi nilimpenda sana dr slaa nikuwa natamani sana aendelee na mchango wake bungeni, hatuna budi kusema byeeeeeeeeeee slaaa, nanyie watanzani badalaya kuskitika mna mbeza mwenzenu eti utapata haahaa wabaya nyie watanzani.
Reply
Leave a Reply | Vitabu vya WatanzaniaBofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala
Yaliyomo/CategoriesAll Hifadhi/ArchivesFebruary 2012 |





RSS Feed