Ilikuwa ni wikiendi ya furaha na shangwe kubwa sana kwa Mashahidi wa Yehova kukusanyika pamoja ndani ya ukumbi wa Karume[PTA]kukiwa na hudhurio la zaidi ya watu 3,000.Kila mhudhuriaji aliondoka akiwa na ufahamu akiwa na ufahamu wa kutosha kabisa juu ya manufaa ya kukaa karibu na Yehova.Kwa ujumla matatizo ya kifamilia na mshuko wa maadili ulimwenguni unatokana na watu kukaa mbali na Yehova.
Reply
Leave a Reply
Vitabu vya Watanzania
Bofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala