Kampuni ya RJ inatafuta wasanii wa Kike na wa Kiume wenye umri wa kuanzia miaka 14 hadi 18.
Yeyote mwenye nia anatakiwakufika katika ofisi za RJ Company zilizopo Sinza Mori, Dar Es Salaam Siku ni Jumatatu, 30 Agosti 2010 kuanzia saa 6 mchana hadi saa 10:30 jioni.
Comments
Leave a Reply
Vitabu vya Watanzania
Bofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala