Ujenzi unaendelea.... 31/08/2010
Ni ujenzi wa mengi. Ujenzi wa Demokrasia. Ujenzi wa kuitambua haki ya mwananchi. Ujenzi wa kujitambua tulikotoka, tuliko na tunakotakiwa kwenda. Ujenzi wa kufahamu umuhimu wa kushiriki kampeni na kumchagua kiongozi akufaaye. ...na ujenzi wa Nyumba ilee, ambao kwa sera nzuri, mjenzi anaweza kupata vitendea kazi bila ya ukiritimba. Taifa la Tanzania bado lipo katika Ujenzi, naam, kila leo twahimizwa, 'kulijenga Taifa'. picha zaidi za ziara ya kampeni ya Zitto Kabwe katika kijiji hiki zinapatikana katika blogu yake (bofya hapa) CommentsLeave a Reply | Vitabu vya WatanzaniaBofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala
Yaliyomo/CategoriesAll Hifadhi/ArchivesFebruary 2012 |





RSS Feed