|
|
Ipo katika ujenzi. Ni barabara ya Sumbawanga-Mpanda, Rukwa. Mkandarasi amekwishaanza kazi, anatarajia kuikamilisha ndani ya miaka mitatu. Picha imepigwa na Muhidin Sufiani. CommentsKenny 01/10/2010 10:45
Kweli, shukrani Pinda, barabara hiyo ilikuwa ni balaa! Mtui 02/10/2010 12:51
Hapana Kenny, Sio kumshukuru Pinda. Shukuru walipa kodi. Kwani hizo hela za kodi ulitaka ziende wapi? Ina maana sehemu zote ambazo barabara hazijajengwa kwa muda mrefu will take them to have prime minister to have their road built? Leave a Reply |