Ifuatayo ni orodha iliyopakuliwa toka kwenye tovuti ya TCU yenye majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo mbalimbali nchini Tanzania. Orodha hii inajumuisha waliochaguliwa kujiunga katika vyuo vifuatavyo: -RUCO, SAUT, SJUT (Main Campus), SJUT St. Marks, SEKUCO, SMMUCO, SUA, ISW, SUZA, TIA, TUDARCO, TEKU, UoA, UDSM, DUCE, MUCE and ZIFA. Ili kupata orodha ya vyuo vingine, bofya hapa.

Pia yapo mafaili mawili yenye orodha ya waliochaguliwa kujiunga na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Ili kupakua nakala za orodha hizo bofya:-

  1. Bofya hapa kupata - TCU Students' Selection First Batch  [au bofya hapa kwa linki mbadala]
  2. Bofya hapa kupata - UDOM - Direct Entry  [au au bofya hapa kwa linki mbadala]
  3. Bofya hapa kupata - UDOM - Equivalent Entry  [au au bofya hapa kwa linki mbadala]
  4. Bofya hapa kwenda kwenye tovuti ya SAUT kuona TCU Selection

RUCO, SAUT, SJUT (Main Campus), SJUT St. Marks, SEKUCO, SMMUCO, SUA, ISW, SUZA, TIA, TUDARCO, TEKU, UoA, UDSM, DUCE, MUCE and ZIFA

ANGALIZO

Siku chache niliandika posti yenye linki kwa waliochaguliwa kujiunga SAUT, nimepokea maombi ya watu wanaotaka kufahamu majibu yao, TAFADHALI nakufahamisheni kuwa msinitumie maombi kutaka majibu kwani tovuti hii haihusiki na utaratibu wowote wa matokeo hayo wala haihusiani na TCU (ambayo iliahidi kutoa matokeo katika tovuti yake lakini inasikitisha kuwa tovuti hiyo imezidiwa na 'requests' kiasi kwamba haifunguki au kupakua faili). Tovuti hii imepata matokeo haya kwa juhudi binafsi hivyo kilichopatikana ndicho kitakachowekwa hapa, kisichopatikana hatunacho na hatuna pa kukipata.

Haya, someni vijana, muongeze na bidii, mwisho wa kusoma, mtapata maarifa ya kuwafaa maishani!
 


Comments

asia hassan masoud
23/09/2010 12:32

Reply
23/09/2010 12:45

Tunashukuru mmetusaidi maana website ya TCU hafunguki. Cheers

Reply
Mary
23/09/2010 13:13

tunashukuru sana kwa kupata baadhi ya matokeo ila vyuo kama ARdhi,Mzumbe,SUA hakuna

Reply
Deogratius Nhigula
23/09/2010 13:14

Hi,
Can u please forward to me my selection in mail using this codes s0640/2010.
Regards.
Young bro,
Deo

Reply
Deo Killian
23/09/2010 21:32

Thax bro,we are real appreciate yar vital and effectively services,Tcu website wajinga,fulu kimeo

Reply
Tina mazombwe
23/09/2010 23:28

Da.......!sio fresh tcu we gonna crazy with those stress u bring to us

Reply
Tuma
24/09/2010 00:45

nashukuru ila nilikuwa nataka kuona ya SUA

Reply
mushi
24/09/2010 09:49

Reply
julieth
24/09/2010 15:03

thanx kuturahisishia kazi,ya ifm je kaka!

Reply
papi culo
24/09/2010 15:51

thanx 4 this but would advise tht u publish more of the english thn th kiswahili coz some of us r from other non kiswahili speaking countries n r jiong school here.n wen should we expect the other butches?

Reply
musa
27/09/2010 20:23

Nashukru mnavyotusaidia,naomba mtutumie utaratibu mpya wa kutuma maombi kwa waliokoswa nafasi za vyuo tujaribu mara ya pili. MUNGU AWABARIKI.

Reply
27/09/2010 21:42

Ukiwa na swali au maelezo yoyote kuhusiana na orodha hii, usiutume ujumbe wako wavuti.com kwani hautashughulikiwa, bali unapaswa kuwasiliana na TCU katika anwani yao:
Tanzania Commission for Universities, P. O Box 6562, Dar es Salaam.
Phone +255 (0) 22 2772657,
Fax: +255 (0) 22 277289
eForm : www.tcu.go.tz/contact/index.php?feed=feed

Reply
hadija salehe
17/10/2010 14:41

Reply
galiano
21/10/2010 18:41

tcu is a BIG org...It has to be IMPROVED

Reply
03/01/2013 13:31

TCU 's members during time for student to fill the application form you have to put space for them to fill other education their have apart from what some body decide to use on competetion,the will help student on catergorized as 4years or 3years for his or her course, example I, I have Diploma in marine Transportation NTA 6 with an upper second class, and I have FTC with D average But I need to take Engineering.

Reply
Farida Nuhu
20/02/2013 13:48

tunashukuru kuchaguliwa lakini tunaomba tupate elimu bora

Reply
Tumaini Thomas
08/04/2013 16:56

Reply
Tumaini Thomas
08/04/2013 16:56

Reply

Your comment will be posted after it is approved.


Leave a Reply