Taarifa hizi zimeripotiwa katika blogu ya Albert G Sengo. Bofya picha kusoma maelezo yaliyomo chini yake.
Picture
Upigaji kura ukiendelea huku mawakala na wasimamizi wakiwa wamekalia mawe. Taabu ilikuwa wakati wa kugonga mihuri kwenye karatasi ya kupigia kura. Jiulize bila vitendea kazi utawezaje kufanikisha zoezi bila kuharibu kura!
 


Comments

Mlabula
01/11/2010 02:02

kweli namna hii tunahitaji mabadiliko ya haraka.Natume ya uchaguzi isiachwe nyuma i.e. ibadilishwe pia.

Reply

Your comment will be posted after it is approved.


Leave a Reply