Katika kipindi hiki, utayasikia majibu baada ya kupimwa ili kuthibitisha kauli ya dada aliyehojiwa katika kipindi kilichotangulia na kutamka kuwa anaamini amepona baada ya kunywa dawa kwa Mchungaji Mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Ambilikile Masapila huko Loliondo kijijini Samunge.
Pia utayasikia majadiliano baina ya wataalamu wa sekta mbalimbali walioalikwa studioni ili kuzungumzia sekta husika zilizoguswa na 'uponyaji' wa dawa ya Mch. Masapile.
Mwendesha kipindi ni Dk. Isaac Maro.
Bofya kifute cha play hapo upate kusikiliza. Audio zipo mbili ili kutoa uchaguzi zaidi ikiwa moja italeta usumbufu wa kutokusikika. Ikiwa huwezi kusikiliza, tafadhali bofya hapa kujipakulia audio hiyo.


RSS Feed