Picture
photo : google images
Yupo Mtanzania mmoja amekerwa sana kwa wivu wa maendeleo, baada ya kusikia habari katika redio moja ya Rwanda zikisema kuwa shirika la ndege la Rwanda, RwandaAir lina safari zake nyingi kwenye miji mikubwa nchi za maziwa makuu na, wanao mpango unaokamilika hivi punde wa kuanza kuruka kwenda Urabuni.

Kwetu Tanzania, shirihirika letu la ndege, ATCL, linakufa.

Akauliza,  "Why can't we learn form others? Hii nchi inatia hasira mazee!"

Mtanzania mwenzie akamjibu jibu ambalo linafaa kuwa nukuu ya leo ya Mtanzania kwa kuwa linazungumza ukweli ulio wazi, na asiyeuona ukweli huu, hatufai: 

"What's wrong is that... we educated cream of this country are not doing anything rather than criticising the government behind our desktops, hoping that one day the so called 'walalahoi' who are now referred to as 'people's power' will one day wake and remove this government for us, and let us enjoy their sweats! 

This is bull shit...

If something is wrong we are the eyes of illiterate Tanzanians, we have to show them something is wrong and give them options for solutions, sio tunachapa keyboard tu then inakuja topic nyingine tunachapa keyboard... siku inaisha tunaingia kwenye mikoko yetu tena ya 2nd hand kwenda kunywa laga za jioni, then home... make love to our wives/girlfriends/fiancees/vimada, and then tomorrow we do the same old shit!

THATS MY BROTHER... IS THE PROBLEM!"

 


Comments

Fatma
29/05/2011 22:15

love this...i second you my brother.....changes will only come from us.

Reply



Leave a Reply