Indeed, while the Google Ventures website lists four career opportunities for one of its portfolio companies located in Cambridge, Massachusetts without naming Wingu, the stealth startup published the exact same job openings on its job board, leaving nothing to the imagination.
Wingu is building a enterprise-grade cloud platform dubbed Elements that will enable research teams to collaborate more effectively and use data in ‘new ways’.
Ndiyo, umesoma vyema. Wingu kama tulijuavyo kwa Kiswahili!
Ni neno mojawapo la Kiswahili kati ya mengi ambayo yametumika vyema katika ulimwengu wa sayansi na TEHAMA.
Pamoja na kujivunia lugha yetu, pia tuitumie kwa faida. Siyo sisi tubakie tukidai, sisi ni Waswahili, ni wazawa, ni wenye lugha, while others are making use of it! Tupo mbio kutunga maneno yasiyo na kichwa wala miguu, kila leo kuchanganya maneno hata inafika pahala hatuelewani wala kuamini kuwa sote tunasema Kiswahili.
Wakati wengine wanayanyemelea na kuyatumia kwa faida, sisi tuendelee kuboronga Swanglish? Hapana.
Watu hawa wametengeneza 'wingu kemia' soma maeleoz kwenye blogu yao http://blog.wingu.com
Hakuna ubaya wowote kwa wao kutumia maneno ya lugha hiyo, ila nasi Waswahili tuchangamke.


RSS Feed