Mifano hai ya juhudi zenye malengo ni kama mtaalamu Kanja wa masuala ya IT (Information Technology) ambaye alikuwa na ndoto za kununua gari zuri aina ya Audi, lakini punde fedha ya kununulia gari ilipopatikana, akabadili mawazo na kuamua kufanya ufugaji "ranch" na sasa anajiingizia faida ya shilingi za Kenya zaidi ya 400,000 (sawa na zaidi ya shilingi 7,000,000 za Kitanzania; shilingi 1 ya Kenya = shilingi 18 za Tanzania) kwa shughuli ya ufungaji tu, mbali na mshahara wa ajira yake ya utaalamu wa IT.
Hakuna kazi yenye faida rahisi, lakini ukweli pia ni kuwa, kila mafanikio yanahitaji nia na juhudi.


RSS Feed