Ikiwa hukusikiliza kipindi hicho, unaweza kurejea kukisikia kwa kubofya hapa.
Ifuatayo ni audio ya kipindi cha mwendelezo wa kisa hicho, kipindi kimesikika Jumapili Agosti 7, 2011 na kurekodiwa, japo audio inakuwa 'fast' kidogo, lakini utaweza kusikia kila kilichoendelea. Tuvumiliane kwani kinasa sauti ndiyo kiliamua kukata nafasi na kuamua kuunga maneno, hivyo mtu anasikika kama anaongea kwa kukimbia au 'mcharazo'.


RSS Feed