...ati ni kwa vipi thamani ya Shilingi ya Tanzania inasahaulika na kudharaulika? Il hali  Wafanyabiashara Tanzania wanatoza malipo kwa fedha za kigeni?

Bango hili wala siyo siri kuwa linaonwa na kupitwa na viongozi kadha wa kadha nchini Tanzania.
Picture
 


Comments

Baba T
31/08/2011 12:22

Wanatisha!! Mbona hawajasema hii offer mpaka lini?

Reply
mtoto wa mkulima Igeleke
02/09/2011 15:07

You thougth like one person and a half. This is very true, kunahaja ya kwenda tukajifunze Ethiopia

Reply

Your comment will be posted after it is approved.


Leave a Reply