Yanga wamegoma kuvaa jezi zenye nembo ya mfadhili wa ligi Kuu ya Tanzania Bara, VodaCom kwa madai kuwa rangi za nembo hiyo za nyeupe na nyekundu, ni rangi za jezi za mahasimu wao, Simba SC.

Wakati hayo yakiendelea, washabiki wa Yanga wamemtaka kocha wao Sam Timbe aondoke kwa madai kuwa "ameshindwa kuwapanga wachezaji" na hivyo kusababisha kuuanza msimu vibaya.

 


Comments

jazzie
24/08/2011 05:53

hivi, wabongo huwa tunakunywa maji ya ujinga? ok, mimi ni mshabiki wa yanga, lakini katika hili viongozi wa yanga wamedhihirisha upumbuvu wao.

nani asiyejua kuwa logo ya vodacom imebadilika na kuwa nyekundu? pili, mpumbavu gani atakayechukulia nembo ya vodacom katika jezi za yanga kuiwakilisha simba?

yaani inakuwa kama vile watu wanafikiria kwa makalio yao badala ya vichwa vyao.

Reply



Leave a Reply