Lalamiko mojawapo ni kama hili, ''My search browser defaults to Swahili, why?????? I hate this!!!!!!!!"
Sasa basi, ikiwa unataka kubadili lugha kwenye google search engine, fuata hatua hizi 3:
- Nenda www.google.com/preferences
- Bofya kwenye drop-down ya "language" kisha itafute lugha unayoitaka, uibofye "click" kama ilivyoelekezwa kwa mshale kwenye picha inayoonekana hapa.
- Halafu tizama kulia kwenye kifute cha "Save Preferences" bofya hapo na utakuwa umebadili lugha ya google kadiri utakavyo.




RSS Feed