Video ifuatayo inaonesha magoli yaliyofungwa katika mechi iliyochezwa siku ya Jumapili, Oktoba 9, 2011 nchini Morocco kati ya timu za Taifa za Tanzania na Morocco katika harakati za kuwania nafasi ya kucheza kwenye michuano ya Africa Cup of Nations 2012.

Katika mechi hii, Morocco iliifunga Tanzania 3 : 1 na kusababisha Tanzania kuyaaga mashindano hayo.
 


Comments

Evans
11/10/2011 01:20

Sitaki kuamini kuwa alipewa hongo.Hatuna kipa kweli.
Tumefungwa magoli ya kizembe.

Reply



Leave a Reply