Picture
picha via blogu ya RuralPressSongea
Barabara eneo la Nyololo kilometa chache kufika Makambako, Iringa ni baya, hasa wakati wa mvua kuna utelezi sana. 

Jana siku ya Jumamosi basi New Force one lilokuwa likitokea Dar es Salaam lilipinduka, na kusababisha ajali. 

Madereva wanapaswa kuwa waangalifu wakati wa 'overtaking lorries' wakati wa mvua na kwenye miteremko. (RPS
Picture
Wananchi wa Nyololo Mufindi mkoani Iringa wakitazama ajali ya basi ya New Force lililopinduka na kuua watu wanne na wengine kujeruhiwa vibaya (picha: blogu ya FrancisGodwin)
 


Comments

Mtanzania
29/01/2012 07:36

STK jamani mtatumaliza. mnatuua halafu kwa kutumia kodi zetu yaani pesa zetu. Haya magari ni hela zetu. Kuna ulazima wa kuwapeleka hawa madereva shule!

Inauma sana. Poleni familia zilizopoteza wanafamilia na poleni watanzania wenzangu kwa hasara maana hapa kama akiweza kufuatilia mtu utashangaa hiyo bili ya kurudisha hiyo gari katika hali yake, au inaweza kuuziwa mkurugenzi au kingunge yeyote kwa hela kichele kama 2m with no fear!!! watanzania tujirudi! tunavyolipa kodi ni lazima tuwezekufuatilia zinavyotumika kama zifanyavyo nchi zilizoendelea! Its now or never!

Reply



Leave a Reply