Kaa mbali! 

Jitahidi kukaa mbali kabisa maana ni ugonjwa mbaya kweli kweli. Unaambatana na sifa za kudharauliwa, kuchekwa, kuibwa, kuonwa juha, kusengenywa, kupewa makombo, kupewa kwa masharti ya kudhalilisha...yaani kwa ujumla ni ugonjwa mbaya mno!

Jamaa anamtizama Mzee kiraka hapo anajiuliza sijui amzabue makofi fya fya fyaa, sijui amkung'ute hadi vumbi limtoke? au aliache tu liendelee kupiga kelele kama juha huku akilizunguka na kuliibia utajiri wake kisha kwa dharau na mkwara mzito, analigawia sehemu kwa mkopo wenye riba na masharti na dharau chungu tele!
 


Comments




Leave a Reply