Juu ni gari lililohifadhiwa katika jumba la makumbusho ya Mchungaji mpigania haki, usawa na uhuru nchini Marekani, Martin Luther King Jr. Gari hilo la kukokotwa na farasi ndilo lililoubeba mwili wa marehemu Martin Luther King Jr. kwa ajili ya maziko kufuatia kupigwa risasi na kuuawa. 

Picha ya chini ilipigwa siku ya maziko ya Mch. Martin Luther King Jr.

Picha zote zimepigwa na "Dewo" alipozuru jumba hilo lililopo Atlanta, Georgia, Marekani (Januari 2012).

Kwa mengi zaidi kuhusu Martin Luther King Jr, fungua tovuti iliyotengenezwa mahsusi kwa ajili yake: thekingcenter.org
 


Comments




Leave a Reply