Viongozi hawa wenye nyadhifa tafauti nchini Tanzania wamekuwa wakitamkwa katika vyombo mbalimbali vya habari kwa namna tofauti kiasi cha kuuaminisha umma wa Watanzania kuwa wana tofauti zilizozaa makundi ndani na nje ya chama. Naam, picha hii kama wasemavyo wahenga, ni moja ila yaweza kuwa na maneno elfu!
Picture
picha via blogu ya "Kamanda wa Matukio" Richard Mwaikenda
 


Comments

22/01/2012 10:54

Subi, Did you mean "Richard Mwaikenda"? I sound like Google, don't I? Haha

Reply
22/01/2012 10:59

edgar, ndiyo ni "Mwaikenda", mwenyewe nilirekebisha awali nilipokose, sema hizi settings nazo zinazingua mara nyingine nisipo-click publish, nika-save tu haioneshi, wakati mwingine inaonesha, basi alimradi kuzinguana tu.

Reply
Ng'wanamvanga
22/01/2012 12:47

Ukitathmini pozi la "Tyson" unapata kirahisi picha kamili kuhusu uhasama wa hawa jamaa wawili. Yote kwa yote, hakuna wa kuisaidia nchi miongoni mwao... ni vizuri wakaendelea na vita yao ili CCM iondoke kwenye siasa za Tanzania.

Reply
Rumanyika
22/01/2012 14:47

Hawa Wahwshimiwa ukiangalia hata wanalivyoshikana mikono utaona ni kuwa wana uhasama mioni kwao na ona jinsi walivyoangaliana. Mie naona Mh. Wasila aliwaomba washikane mikono kwa kuwa walikuwa kwenye kilio.Kweli namna hii tutafika!!!.Angalieni hiyo picha vizuri na muone kwa jinsi Chama kinachotuongoza kilivyo na matatizo. Mungu ibaliki Tanzania.

Reply



Leave a Reply