Picture
Mpiga picha amepiga picha hii akiwa amesimama eneo la Hippo Camp, Mloka nje kidogo ya pori la akiba la Selous kipindi hicho hali ya kina cha maji kwenye mto Rufiji ilikuwa sio ya kuridhisha kabisa. Sehemu kubwa ya mto ilikuwa imekauka na kuacha visiwa vya mchanga. Kwa picha zaidi za maeneo ya utalii, mbuga za wanyama zuru blogu ya TembeaTz
 


Comments




Leave a Reply