Pakua kipande kilichopachikwa hapo au bofya hapa kwenda RaiaMwema.co.tz kujisomea makala hiyo.
Madaktari mezidi kudharauliwa.jpg
File Size: 1971 kb
File Type: jpg
Download File

 


Comments

Dr.mgori
12/01/2012 13:53

Waziri anatakiwa kuomba msamha, kitendo cha yeye kuwaita Intern wanafunzi nadhani kilishajadiliwa kwa undani na kurekebishwa na mmoja wa waliowahi kuwa waziri wa wizara hiyo, Dr.Hussein Mwinyi.
kuna Umuhimu wa kupeluzi entries za zamani za wizara kuliko kukurupuka na kuongea maneno yanaonyesha ufinyu wa uelewa wa waziri huyu kwenye masuala anayosimamia,
Anafahamu vipi? ni nini maana ya MAT? Intern doctors , MD5/4
Nadhani anahitaji darasa

Reply



Leave a Reply