Kama alivyokutwa na kamera ya gazeli la Majira, kandokando ya Barabara ya Kigogo, Kinondoni, Dar es Salaam jana, akitafuta wateja!
Comments
Ng'wanamvanga
23/01/2012 11:21
Its touching, thats all I can say!
Ukweli ni kwamba, huyu ni moja ya tone kati ya bahari ya Watanzania masikini. Lakini bado tuna wabunge wanaofikiria kujiongezea posho, ilhali mama huyu angepata hiyo laki mbili kwa mwaka ingemfaa yeye na mwanae pengine kwa miaka mitano mbele!
Watanzania tumerogwa, mama huyu alifaa awe pale Machinga complex au soko la aina hiyo la matunda... lakini machinga yenyewe ina vyumba kibao vinahodhiwa na wenye fedha na havifanyikazi.
Ng'wana, nami nimewaza katika njia yako. Nimewatazama viongozi wa Serikali na utetezi wao wa "posho" nikajiuliza maswali ambayo nimekosa majibu kisha nikazidi kutafakari ile kauli mbiu ya "binadamu wote ni sawa", inawezekana ni sawa ila wengine ni sawa zaidi.
Reply
Evans
24/01/2012 02:52
na bado tunalonga tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele.Maana Ari zaidi, kasi zaidi na nguvu zaidi ndio zimetufikisha hapo
Reply
rama
24/01/2012 02:59
watu wanateseka sana tanzania; inasikitisha.
Reply
Leave a Reply
faraja.org
Get professional advise for a Tanzanian or UK visa. Contact T UK Visa consultancy. CALL+255 222 139 502 or Email: info@tukvisaconsultancy.co.tz
Vitabu vya Watanzania
Bofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala