Mashindano hayo yalianza Januari Mosi, 2012 mjini Mar del Plata, Argentina na kilele chake ni Jumamosi, Januari 13, 2012 ambapo safari itatamatia mjini Lima, Peru.
Awali mashindano hayo yalikuwa yakishika njia toka mjini Paris, Ufaransa hadi mjini Dakar, Senegal lakini kutonana na kuwepo kwa vita na hali isiyo salama, mashindano hayo yaliyamishwa na Afrika ikabaki kuwa sehemu tu ya kupita lakini tamati yake ni katika bara la Amerika ya Kusini. Jina la "Dakar Rally" limebaki ilivyo kwa heshima ya historia yake.


RSS Feed