"Wavuti.com ni kisima cha fursa kwa watanzania kuanzia habari, kazi, Scholarships na kadhalika. Nilipata kazi katika shirika la kimataifa kutokana na Tangazo kwenye tovuti hii. Pia nilipata Scholarship ya kusoma nje ya nchi kutokana na Tangazo katika tovuti hii. Kwa Mtanzania mwenye nia ya kufanikiwa katika maisha yake hatamaliza siku bila kusoma habari mpya na Matangazo katika tovuti hii. Ukijisajiri kila siku wanakutumia e mail yenye habari na fursa mpya. Ni kama vile unaletewa kazi na fursa nyingine katika mlango wa nyumba yako."
Ndugu Kahabi, shukrani kwa kutoa ushuhuda huo kuhusu wavuti.com na kwa jinsi ulivyofaidi na kuwahimiza wengine kuitumia vilivyo tovuti hii ili kupata mengi kwa faida zao na taifa lao. Ni matumaini yangu kuwa wengi zaidi watazidi kuiperuzi wavuti.com katika kurasa zake mbalimbali na kupata yatakayowafaa.
Nami nakupa pongezi kwa kufaidika na wavuti.com, ambalo ndilo lengo kuu la uwepo wake, yaani kushirikishana.


RSS Feed