Huko Ikulu leo, Rais Jakaya Kikwete amekutana na uongozi wa chama cha NCCR-Mageuzi kufuatia ombi la kutaka kuonana naye ili kuwasilisha mapendekezo ya chama hicho kuhusu mchakato wa jinsi ya kuipata Katiba Mpya ya Tanzania. Zifuatazo ni picha toka Ikulu za mkutano huo.