Rais Kiwete leo Jumamosi, Januari 21, 2012 ameongoza mamia ya viongozi na wakazi wa Dar es Salaam waliofika katika viwanja vya Karimjee kwenye hafla ya kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru, marehemu Jeremiah Sumari. 

Zifuatazo ni chache ya picha za zilizopichwa na Mpiga picha wa Ikulu (na nyingine toka blogu ya Richard Mwaikenda.) 
 


Comments




Leave a Reply